Kati ya Algeria iliyomiliki mpira kwa 85% na Taifa Stars 15%, nani anastahili kusifiwa?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2023
Posts
930
Reaction score
1,304
Wadau nawasabahi. Tuwe wakweli nani anastahili kusifi kwa Mchezo wa Taifa Stars na Algeri?

Mimi nawasifia ALGERIA licha ya kucheza Mpira Mkubwa kwa kiwango hicho huruma na upendo wao kwa TAIFA STARS vilichangia kutufichia aibu kwa kuamua kutubeba hadhatani.

Sifa za Pekee ziwaendee Wachezaji wa Algeria kwa uamuzi wao leo dunia yote imejua tumefuzu.
 
Uzi tayari???

Ungekuja na hoja ya maana kama JINSI Gani tunaweza Kutengeneza na kuendeleza wachezaji wadogo wenye VIPAJI vya mpira WA Miguu.

LAKINI

"Hakuna UMASIKINI MBAYA kama umasikini wa FIKRA".

MWALIMU JK NYERERE.
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 

Nyerere hakua fundisho kwa viongozi wengine, mnapenda sana kumpamba mtu ambae alitaifisha mali za wahindi n.k.
 
Mpira wa sikuhizi una mambo mengi sana ikiwemo.
Kuingiliwa na watu ambao hawaufahamu huu mchezo wala kuwahi kuucheza, na hawa kwa asilimia kubwa ndio wanaouharibu.
Achilia mbali kuna wengine wameletwa na wapenzi wao nao ni tishio kubwa kwa mpira, wanaleta hisia za hovyo na mpaka hoja zisizo na mashiko.
 
Unaweza kuthibitisha hiyo "huruma na upendo" ?
 
All in all we godamn going to Ivory Coast,
And that's that matters
 
Katika mpira ikitokea situation uwanja umeinama, yaani upande mmoja wanashambulia tu huku wengine kazi yao ni kuzuia tu. Mpira ukiisha yule aliyezuia kwa dakika zote na kupata matokeo aliyoyahitaji anastahili pongezi kwa kufanya kazi yake kwa usahihi asingekua makini angefungwa.
 
Ball possession siyo metric sahihi ya kujaji mechi. Football ni mchezo wa malengo. Taifa Stars lengo lao kubwa na ambalo lilikuwa rahisi kufikiwa ni draw. Na siku zote unapopambana na adui yako unatumia udhaifu wa adui yako. Algeria au timu za waarabu nyingi wanacheza rafu nyingi. Ukiangalia hata mechi ya kwanza walicheza rafu zaidi ya ishirini. Pamoja na ball possession ya 15% (actually ilkuwa 20% ) bado stars walipata kona 5 kwa 1 ya Algeria. This means stars walifanikiwa kwenye malengo yao. Ndiyo maana timu kama Barcelona huwa wanafungwa na timu ndogo halafu watu wanashangaa. You play to your enemies weakness not his strength.
 
Wanaostahili sofa ni Taifa Stars kwa sababu walikuwa wanahitaji share au ushindi kufuzu hivyo malengo yao yalitimia.
 
Siku zote soka hupimwa zaidi kwa matokeo,
Kwenye soka historia humkumbuka mshindi na sio mpiga chenga au aliye pose zaidi possession ya mpira,
Kwenye soka kinachomata zaidi ni results ya mchezo that's all.
Hujui mpira ndiyo nyie Magoli ya Penalt mnayakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…