Kati ya Alikiba na Harmonize nani mkali?

Alika hashindani na MTU ila watu ndo wanashindana na mziki wake!.....
 
Meneja wa Simba kaliwa ban na tff nyundo 1 na TSHs 1m
 
Wacha kumfananisha Harmonise na vitu vya ki****nga!
Kiba tallent imekwisha evaporate...
 
Konde boy hata ipite miaka 70 akiwa kwenye industry ya mziki, haitatokea afikie mziki wa kiba hata robo
 
kunabaadhi ya watu ningekua moderator siku nyingi sana wangeskia jamiiforum kwenye radio
 
huwezi ukamsamanisha alikiba kwa Harmonize kiba ameshaisha anakalia jina tu na jeuri ..Harmonize ashampita sana tu.
 
Bila kufungamana na upande wowote... tukienda kwenye namba na uhalisia harmonize ni mwanamzik anae fanya vzur zaid tanzania kwa sasa aki fuatiwa kwa karibu na boss wake mond... alikiba ni kama ayuko serious na mziki ivi
 
Acheni kumfananisha Harmonize na vitu vya kijinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…