Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Unamfananisha Analyse na vitu Gani!? Hebu mtake radhi....

Analyze ni fanani!....anajua kupangilia story hadi kukupa hamu ya kutaka kujua kitakachojiri..... Wewe hadhira...

Jaribu kutofautisha mkuu... Kuchambua kenge katika kundi la mamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…