Kutokana na utata unaojtokeza kwenye familia nyingi kiac cha kuleta kutoelewana juu ya watoto.hisia mbaya huwakumba hasa wanaume wakidhani watoto wale c wao.je nani mhusika mkuu wa swala hili?Wengi wamelea watoto wakidhani ni damu yao kumbe cha kike.
NB:KITANDA HAKIZAI HARAMU
Ukweli unabaki palepale kuwa mzazi wa ukweli ni mama kwani ndie hasa tunaemwona na mimba kisha mtoto lakini baba anaweza kusingiziwa ili mradi mimba ilitungwa wakati mama akiwa katika ndoa
Teacher Kapex
Mtoto akiambiwa shuleni kamlete mzazi wako atampeleka nani?