Kati ya BABA au MAMA yupi ni mzazi halali?

mbona hakuna kinachoeleweka hapa.... Kwani kuna mzazi haramu...
 
Jamani!!!! Mama hawezi kua mzazi bila baba, ukiwa na mama lazima uwe na baba, hayo mengine ni ufukunyuku tu.
Ukimchunguza bata humli.
 
Jamani!!!! Mama hawezi kua mzazi bila baba, ukiwa na mama lazima uwe na baba, hayo mengine ni ufukunyuku tu.
Ukimchunguza bata humli.
Ukimchunguza bata utamsafisha ili umle vzuri.kwani hujawah kuckia baba anamlea mtoto kumbe c wake?tena wanawake mmezoe ku2chezea akil ze2.
 
Mbona title ya hii ni tofauti na content yake? Lakini definitely ni mama na ndiyo maana makabila mengine mjomba huwa na nguvu kuliko baba.

Mama hawezi kudanganya na akizaa ataonekana tu lakini baba mmmmmmhhhhhh!
Mwambie rev masanilo anadai mm ni underage
 

Baba hazai. Mzazi ni yule anayejifungua, ambaye ni mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…