Kati ya Bob Marley na Michael Jackson nani ni maarufu kuliko mwenzake?

The Oscar-winning film-maker behind The Last King of Scotland says he is making the film, Marley, because of the star's "continued resonance around the world".

"He's gone beyond being a famous musician, he's now a philosopher and prophet," he adds.

Michael Jackson anafananaje na Bob Marley? Bob yuko juu sana
 
kwangu bob atabaki kuwa kileleni[emoji3516]
 
Huwezi kupata nani zaidi hapo.

Hiyo ni sawa umuweke BIGGIE na PAC.

PELE na MARADONA.

Au MESSI na CRISTIANO RONALDO.

Aghalabu, ubishi katu hauwezi kuisha
 

Hahahah
 
Weka Bob na Pele ndio level zao.
MJ sio wa kulinganishwa na msanii yoyote. Ni level nyingine kabisa. Bob anajulikana san carribean na nchi za watu weusi. MJ yuko indonesia, china, india, mongolia, nepal, etc... MJ ni kama hewa...kila mahali.
 
MJ also continue to live through every single dancer, chris brown to diamond platnums...
 
Mwaka 2009 Kati ya watu Bilioni 6.8 watu Bilioni 4.6 walikuwa wanamjua Michael Jackson nenda google kasome
Safi Sana ..Mimi napenda mtu anayeleta Hoja iliyoambatana na ushahidi

Kuna kundi kubwa la wabongo wao huropoka tu chochote kinachokuja kichwani
 
Wakikujibu naomba unitagi dada yangu FaizaFoxy.

Pia nimeamini kuwa akili ndogo hujadili watu.

Faiza and the colleagues, Nina swali kwenu, HAMTAKI WATU WAJENGE UWEZO WA KUHOJI ? Sio poa, kweli wanaweza wakawa wanapoteza muda na nini ila Tunahitaji watu wengi wanaoweza kuhoji mambo yakipuuz kama haya, ni mambo ya kipuuz kama haya kija JAFO wanacheza nayo kuturubuni MARAIA, jaman msiwakatishe tamaa kabisa, TUNATAKA THAT BIG BIG THINK TANK na inaanziaga HUKU WAKUU...


NAWASILISHA,

NB: MWANZO MGUMU.......
 
Inategemea watu wa miaka ya 70 wanamjua sana bob ila kizazi cha dot com a.k.a kizazi cha Nyoka wanamjua MJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…