It means hata hauwajui yaani ni watu wageni kwako ama sivyo?!Kivipi na kwa nini?
Ni kweli kaka watu waliofanya naye kazi wanasema hakuwa mtu wa kawaida aisee.Hivi unaanza kwanza hata kumcompare Michael Jackson na msanii yoyote hapa duniani na hata nje ya dunia.
Michael Jackson katika ulimwengu wa muziki hakuwa mwanadamu, alikuwa super power. Alikuwa ni zaidi ya mtu anaeimba vizuri kuliko wengine. Kwakifupi hata ungeshindanisha Michael Jackson na yeye mwenyewe angejishinda maana ni mkali hata yeye mwenyewe hawezi kujishindanisha na yeye mwenyewe.
Hebu acha upuuzi wako na ufanye utafiti mpya.....
Eti Michael Jackson na Bob Marley,... Khaaaaaaaah wewe hivi upo serious?!
Kuna mataifa ukianzisha uzi kama huu waziri mkuu anawapigia simu usalama wa taifa wakutafute ufungwe jiwe shingoni utupwe baharini ufe.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah 😂😂Kuna mataifa ukianzisha uzi kama huu waziri mkuu anawapigia simu usalama wa taifa wakutafute ufungwe jiwe shingoni utupwe baharini ufe.....
Kwani maiko anaishi wapi?Kuna ubishi unaendelea mahali, ubishi wenyewe unawahusu KING OF REGGAE ambaye si mwingine bali ni BOB NESTA MARLEY na KING OF POP ambaye ni MICHAEL JACKSON sasa ubishani uliopo nani ni maarufu kuliko mwingine?
View attachment 1194927View attachment 1194928
Thread closedMj ni maarufu worldwide, hakuna nchi isiyomjua MJ,
Bob ni maarufu worldwide too lakini sana sana 3rd world countries ndio maarufu zaidi,
Tofauti zao ni: Mj was the best entertainer of all time na Bob alikua ni Influencer of all time,
Mziki wa Bob ulimgusa kila mtu mweusi na Mziki wa MJ uligusa kila rangi.