Kati ya Chuo cha Afya Lugalo na Kibaha kipi kizuri zaidi?

Kyabashasa

Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
10
Reaction score
4
JamanI naomba ushauri Kati ya Chuo cha afya Lugalo na kibaha kipi kizuri zaidi cha kwenda make mdogo wang kapata hivyo vyote wamemuhita sasa kipi kizuri cha kwwnda?

Na je, ada zao zipo sawa ama zinatofautiana? Diploma ya Clinical Medicine? Msaada tafadhali
 
Vyote vya serikali ada zinafanana tu..m nashauri aende kibaha..mana ni chuo kikongwe..zaidi tambua c.o sahivi imekua kama ualimu tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Aende kibaha
 
Kwani second selection za nacte zimetoka?
 
Kwasasa Lugalo ni best,kuanzia mazingira hadi shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…