Kati ya Clinical Clear, Dodo Clear na Perfect White, ni ipi ni nzuri kwa ngozi?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Unajua toka nimefungua magroup na pia kujiingiza kwenye hizi cosmetics hususani biashara, nimekuwa nikifiatwa na watu wakiulizia hayo mafuta matatu.

1. Perfect white

2. Dodo cream

3. Clinical clear

Katika haya mafuta watu huniuliza ni yapi mazuri zaidi kati ya hayo ambayo:

- Hayakupi rangi tofauti kwenye mwili bali yanakupa rangi moja mwili nzima.

- Hayakuachii sugu.

- Ni mazuri unakuwa na ngozi nzuri ya kuvutia.

- Hayamuharibu mtu.

Kati ya hizo ni ipi bora?
 
Clinic Clear ndio iko vizuri, binafsi huwa inanipa matokeo bomba
 
Perfect na Dodo hayo ni mabomu ya ngozi. Bora clinic
 
Nasikia mafuta mazuri ya kung'arisha ngozi ni yale yanayotumia formular inayoitwa "AHA" au "BHA" kiambata hicho akichubui bali kinafanya ngozi inanawili inang'aa kama mtu anavyokua kapata pesa jins anavyonawili,,na hata ukiacha kupaka ngozi haiwi kama kenge..kwasababu hayachubui unakua tu kama mtu anayefilisika kipesa.

na hata ukichunguza sokon lotion zinazutumia hiyo formula ya AHA au BHA zinauzwa ghali tofaut na zenye sumu kama mecury na zile zenye hq na zile wanasema zina kojic acid.

Fanya utafiti alafu utagundua..usikimbilie tu kupaka vya kung'arisha bila kuchunguza hata kwenye mitandao kujua side effect ya hiko cha kukung'arishia,kuna baadhi ya lotion zimeandikwa "hydroquinon free" alafu wanakuandikia pale wametumia chemical gan ili kufanya itakayokung'arisha kwahyo jaribu ku google hiyo chemical ina side effect gan kabla ya kuipaka..kama hawajakuandikia inatumia formula gan nakushauri achana nayo bidhaa nzuri ni ile ambay imewekwa kwa uwaz ili mtumiaj ajue nini anachoenda kutumia
 
Like aha mini white serum eeh

Ungetoa hata mfano wa hayo mafuta ingekua poa zaidi.
 
Back
Top Bottom