Clinic bei ya jumla lotion kubwa 18000, ndogo 11000Bei zipoje kuanzia ndogo hadi kubwa?
Nasikia mafuta mazuri ya kung'arisha ngozi ni yale yanayotumia formular inayoitwa "AHA" au "BHA" kiambata hicho akichubui bali kinafanya ngozi inanawili inang'aa kama mtu anavyokua kapata pesa jins anavyonawili,,na hata ukiacha kupaka ngozi haiwi kama kenge..kwasababu hayachubui unakua tu kama mtu anayefilisika kipesa.
na hata ukichunguza sokon lotion zinazutumia hiyo formula ya AHA au BHA zinauzwa ghali tofaut na zenye sumu kama mecury na zile zenye hq na zile wanasema zina kojic acid.
Fanya utafiti alafu utagundua..usikimbilie tu kupaka vya kung'arisha bila kuchunguza hata kwenye mitandao kujua side effect ya hiko cha kukung'arishia,kuna baadhi ya lotion zimeandikwa "hydroquinon free" alafu wanakuandikia pale wametumia chemical gan ili kufanya itakayokung'arisha kwahyo jaribu ku google hiyo chemical ina side effect gan kabla ya kuipaka..kama hawajakuandikia inatumia formula gan nakushauri achana nayo bidhaa nzuri ni ile ambay imewekwa kwa uwaz ili mtumiaj ajue nini anachoenda kutumia
Ungetoa hata mfano wa hayo mafuta ingekua poa zaidi.Nasikia mafuta mazuri ya kung'arisha ngozi ni yale yanayotumia formular inayoitwa "AHA" au "BHA" kiambata hicho akichubui bali kinafanya ngozi inanawili inang'aa kama mtu anavyokua kapata pesa jins anavyonawili,,na hata ukiacha kupaka ngozi haiwi kama kenge..kwasababu hayachubui unakua tu kama mtu anayefilisika kipesa.