Bei yake mkuu kama unaijuaTanfoam inchi 8 ni nzuri
250000 , ukizungumza vizuri huwezi kukosa punguzoBei yake mkuu kama unaijua
Habari za leo?
Nahitaji bei za magodoro halisi [original] ya TANFOAM Arusha ya vipimo hivi:
5'(futi)×6'(futi)×6"(inchi)
41/2'×6'×6"
4'×6'×6"
Karibu .kama jina langu linavojielezaWakuu habari za wakati huu
Ningependa kujua kati ya kampuni tajwa hapo juu, ni kampuni gani ambayo hutoa magodoro mazuri na yenye ubora, ambayo ukinunua hutajutia hela yako(Nikimaanisha sio rahisi kuchakaa ndani ya muda mfupi na kuweka shimo katikati)
Ukubwa ninahoitaji ni 4×6*8 au 4×6×6
Ningependa nijue na bei tafadhali kwa wanaofahamu
Ahsanteni