Naomba chuo sasa natakiwa nichague kati ya Diploma in Animal Health and Production(DAHP) au Diploma in Range Management and Tsetse Control(DRMTC),please walionauelewa zaidi yangu nisaidie tafadhar
Kvp zote hazilip na kuna watu wamekula maisha ila niliyemuona amesoma DAHP sasa hii kozi ya pili cjajua inakuaje thus y nikaulizia au nijuze zaidi hazilip kvp!?