Kati ya dawa asilia na za kisasa zipi ni salama?

Kati ya dawa asilia na za kisasa zipi ni salama?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
wandugu naombeni tubaadilishane uzoefu na mtazamo kuhusu hili swala?
 
Dawa za asili ni nzuri mara nyingi sana kuliko dawa zisizo za asili,ILA cha muhimu tu ujue jinsi ya kutumia,yaani kwa vipimo dhabiti.Ukitumia kwa vipimo na muda sahihi hutopata tatizo lolote coz hazina side effects(kemikali hasa).

Ila ukioveruse au ukimix na zile za mahospitalini pia inaweza kabisa kukuua.
 
Back
Top Bottom