Kati ya Dodoma na Tanga ni mkoa upi unaotoa dhahabu nyingi? Nataka kuchimba dhahabu naombeni ushauri

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
673
Reaction score
974
Kati ya Dodoma na Tanga ni mkoa upi unaotoa dhahabu nyingi. Nataka kuchimba dhahabu naombeni ushauri wenu Ndugu zangu ni wapi kati ya Dodoma na Tanga ambapo nitaweza kuchimba dhahabu vizuri na kwa uhakika?
 
twende dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…