Kati ya dploma ya IT, ICT , Comp. Science na Comp Enginering nisome ipi?

Nyalo

Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
10
Reaction score
0
Naombeni msaada wenu jamani juu ya iyo topic above. Naipenda sana hii computer lakini sijui nisome kozi ipi kati ya hizo ambayo ni nzuri zaid.
 
Naona walonambia comp engineering ndo wanaongoza lkn yupo alonambia comp sci pia. Ningeomba na sababu plz. Kma zpo za kimshahara, utaalam au hata mda wa kusomea koz hzo.
 
Zote zipo sawa na utafanya kazi zile zile mdogo hata kama ungesoma zote kwa pamoja.
 
Naombeni msaada wenu jamani juu ya iyo topic above. Naipenda sana hii computer lakini sijui nisome kozi ipi kati ya hizo ambayo ni nzuri zaid.

I would recomend computer engineering!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…