Kati ya gari hizi nichukue ipi?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Mazingira ya kwetu ni milima ya upareni, milima, utelezi, makorongo nk.

Mkuu, Vanguard ni Toyota Rav 4 iliochangamka.

Chukua hiyo Harrier Hybrid mzee baba. Sema bei ya moto.

Hiyo 3rd generation XU60 ni kuanzia mwaka 2013 kali sana.

Sema bei mbaya, iyo moja unapata vanguard mbili.
 
Harrier moja upate vanguard mbili huo huongo kabisa.
 
Sawa
 
Harrier moja upate vanguard mbili huo huongo kabisa.
Mkuu unabisha nini hapo?

Vanguard nimeipata hii beforward mfano ya 2011.

Na ushuru wa TRA hapa:

Kwahiyo Mil 35 hivi unapata.

Haya tuje kwa Harrier kumbuka hiyo kwenye pic ni 3rd generation sio tako la sokwe.

Beforward nimeipata ya bei ndogo kabisa hii hapa:

Tuje ushuru wa TRA:

Kwahiyo jumla kama Mil 70 hivi.

Njoo na wewe uni prove wrong.
 
Msamehe tu. Nadhani yeye akisikia Harrier anawaza zile za zamani..

Kuna Kluger nayo model mpya hizi ni moto balaa.
 
Mkuu huyo jamaa anajua harrier Ni tako la nyani tu,hio harrier 3rd gen hajawahi hata kuisikia.
 
Kwani huko beforward na wenzake kuna nini? Altezza inaweza kukusimamia milioni 16/17 mpaka kuitoa nje? Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…