Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Wakuu wasalam
Bila kupoteza mda majuz nilikua kwenye kijiwe kimoja kukaibuka mjadala mzito sn juu ya gari za mjapan na mjeruman hasa kwenye suala la matumiz ya mafuta
Wapo waliodai mjeruman magar yake kama aud,bmw,na hata benzi yanatumia mafuta vizur zaid kuliko gari nyingi za mjapan kam alteza,crown n.k
Watoa hoja wanadai gari nyingi za mjerumn zimetengenezwa kutumia zaid umeme kuliko mafuta na wanadai ndio mana zinakula wese vizuri kuliko gari za mjapan
Naomba tujuzane kwa kina zaid wadau juu ya hii mada mana kila mtu naona alikua anavutia kwake
Ukweli ni upi ?je mfano gari za aud za cc 1500au 1700 inakulaje mafuta ukilinganisha na gari za cc sawa za mjapan kama ist,n.k
Wadau naomba kuwasilisha kwa ajili ya udadavuz zaid