Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Biashara ya kumuachia tu akufanyie inahitaji umakini mkubwa sana. Umimkabidhi kichaa, basi tegemea maumivu.
All in all, Bajaj ina uhakika zaidi wa marejesho kuliko hilo guta. Muhimu umpate tu kijana anayejitambua; halafu unaingia naye mkataba wa kumuachia hiyo bajaj baada ya muda fulani wa marejesho. Mara nyingi ni baada ya miaka miwili ya kukuingizia salio; bajaj inakuwa ya kwake.
Biashara zote hutegemeana na mazingira. Kama uko sehemu ambayo mizigo ya kubeba inapatikana kwa urahisi, hilo guta ni bora zaidi kuliko bajaj.Biashara ya Guta ni uongo syo??
Huo mkopo umepata wapi na sisi utufahamishe.Mnaomiliki hivi vyombo vya moto au madereva au kama una experience Naomba ushauri
Kati ya guta na bajaji ipi
-Inarudisha hela mapema
-Inauhakika wa hela kwa boss
-Ikitokea dharula inauzika
-mzunguko wake hausumbui??
Nimechukua mkopo wenye riba ya 10% lengo ninunulie Guta.Atleast hiyo nimepigiwa story na dereva mmoja anayaendesha anasema ni biashara nzuri.
Leo nimekutana na mwenye bajaji ananiambia nisije jichanganya. sasa naona kila mtu anavutia kwake.
Sasa naomba ushauri kwa wamiliki au wenye utaalamu wa hivi vyombo vya moto.
Ipi nzuri kwa biashara na kurudisha hela mapema
Umechangia vzr pia umeongea kwa uzoefu mnk na mm nimewahi miliki bajaji 3 nikawapa vijana nilishiaa kuwa maarufu vituo vya police kila wkt naitwa na kwenda kukomboa bajaji na case mbalimbali za kuhusu bajajiBiashara ya kumuachia mtu akuzalishie huku ukiwa unaendelea na mambo yako, inahitaji umakini mkubwa sana. Umimkabidhi kichaa, basi tegemea maumivu.
All in all, Bajaj ina uhakika zaidi wa marejesho kuliko hilo guta. Muhimu umpate tu kijana anayejitambua; halafu unaingia naye mkataba wa kumuachia hiyo bajaj baada ya muda fulani wa marejesho. Mara nyingi ni baada ya miaka miwili ya kukuingizia salio; bajaj inakuwa ya kwake.
Inategemea na eneo uliopo kama upo kwenye miji inayokua kwa kasi ambapo ujenzi ndo habari ya mjini nunua guta ila kama upo mjini nunua bajajMnaomiliki hivi vyombo vya moto au madereva au kama una experience Naomba ushauri
Kati ya guta na bajaji ipi
-Inarudisha hela mapema
-Inauhakika wa hela kwa boss
-Ikitokea dharula inauzika
-mzunguko wake hausumbui??
Nimechukua mkopo wenye riba ya 10% lengo ninunulie Guta.Atleast hiyo nimepigiwa story na dereva mmoja anayaendesha anasema ni biashara nzuri.
Leo nimekutana na mwenye bajaji ananiambia nisije jichanganya. sasa naona kila mtu anavutia kwake.
Sasa naomba ushauri kwa wamiliki au wenye utaalamu wa hivi vyombo vya moto.
Ipi nzuri kwa biashara na kurudisha hela mapema
Biashara zote hutegemeana na mazingira. Kama uko sehemu ambayo mizigo ya kubeba inapatikana kwa urahisi, hilo guta ni bora zaidi kuliko bajaj.
IST nayo ni GUTA ila wacha nirudi ktk mada..
Guta lipi ? Lenye injini au Guta lenye pedals?..
So far.. hesabu ya GUTA per day ipoje? Una determine vip makusanyo yako ww kama BOSS.
Huo mkopo umepata wapi na sisi utufahamishe.
Umechangia vzr pia umeongea kwa uzoefu mnk na mm nimewahi miliki bajaji 3 nikawapa vijana nilishiaa kuwa maarufu vituo vya police kila wkt naitwa na kwenda kukomboa bajaji na case mbalimbali za kuhusu bajaji
Mara ya mwisho bajaji yangu ilihusika kubeba bangi na kuhusika kubeba vitu vya wizi hvyo ilihiataji na mahakama Kama ushaidi nilionga laki mbili niitoe ili police wasije ipelekea mahakamani kama kidhibitisho
Kama hicho chombo utaendesha mwenyewee Basi itakuwa vzr snana pesa utaona vinginevyo tarajia kufilisikaa
Naunga mkono hojaUmechangia vzr pia umeongea kwa uzoefu mnk na mm nimewahi miliki bajaji 3 nikawapa vijana nilishiaa kuwa maarufu vituo vya police kila wkt naitwa na kwenda kukomboa bajaji na case mbalimbali za kuhusu bajaji
Mara ya mwisho bajaji yangu ilihusika kubeba bangi na kuhusika kubeba vitu vya wizi hvyo ilihiataji na mahakama Kama ushaidi nilionga laki mbili niitoe ili police wasije ipelekea mahakamani kama kidhibitisho
Kama hicho chombo utaendesha mwenyewee Basi itakuwa vzr snana pesa utaona vinginevyo tarajia kufilisikaa
Guta ukiitunza vizuri, tena kama una nafasi fanya hiyo biashara mwenyewe ili baadae umuachie mtu baada ya kujua mahesabu yake. Guta inabeba kama kirikuu!