Kati ya haaland na osimhen unamchukua nani?

Jbst

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
1,971
Reaction score
4,085
Tulikua tunabishana hapa kuhusu uwezo v osimhen vs erling haalan nani mkali zaidi?

Mfano umepewa nafasi ya kumsajili mchezaji mmoja kati yao utamchukua nani na kwasababu gani?

Mimi namchukua Victor osimhen kwasababu ana offer vitu vingi kuliko haaland, kwanza osimhen ni mpambanaji zaidi yaani hata team ikizidiwa ana uwezo wa kushuka chini na kuchukua mali ila haaland team ikizidiwa utamkataa anaweza kugusa mpira mara 3 ndani ya dk 90.

Je ww utamchukua nani?
 
Unalinganisha UDP na CCM au?
 
Watu wengi naamini hamjamtazama osimhen au hamjui mpira.. haaland anafunga magoli mepesi sana, hana uwezo kwenye 1 vs 1 , pia haaland team yake ikidhibitiwa anaweza hata kutogusa kabisa mpira .

Nashauri angalieni game za napoli muone hili jamaa ni [emoji91]
 
Hapo itategemea na aina ya timu uliyonayo. Kama timu yako ina playmakers wazuri basi utamchukua Haaland maana utakua unahitaji finisher tu,ila kama timu yako inahitaji kupata magoli ya kupambana Victor Osimhen ni chaguo sahihi.
 
Haaland all the way, mwamba ame prove ligi karibia tatu tofauti ni mnyama.

Siku hizi nikimtazama anazidi.kuimarika, hasa kwenye matumizi ya nguvu, anawasumbua wale mabeki wa EPL hawana hamu nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…