KATI YA HAWA NANI MJANJA ZAIDI

KATI YA HAWA NANI MJANJA ZAIDI

shayrose

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
369
Reaction score
411
Kuna watu walibarikiwa zaidi bila wao sijui tungeishije.hivi kati ya aliyegundua simu,aliyegundua ndege,aliyegundua meli na aliyegundua baiskeli nani kichwa zaid?
Kwangu mie aliyetengeneza baiskeli ananishangaza zaidi chombo hakina hata ingini lakini kinateleza tu barabarani kina shindana hadi na mafuso chenyewe kina matairi mawili tu ukikipanda tu kilee

Dunia ya mungu vitu vya mzungu wewe kwako nani zaidi kati ya wataalam hao
 
Alogundua roho asee,kuna watu wana majiroho makubwa asee usiombe.

thA God thA bubbs!!
 
Back
Top Bottom