Kuna watu walibarikiwa zaidi bila wao sijui tungeishije.hivi kati ya aliyegundua simu,aliyegundua ndege,aliyegundua meli na aliyegundua baiskeli nani kichwa zaid?
Kwangu mie aliyetengeneza baiskeli ananishangaza zaidi chombo hakina hata ingini lakini kinateleza tu barabarani kina shindana hadi na mafuso chenyewe kina matairi mawili tu ukikipanda tu kilee
Dunia ya mungu vitu vya mzungu wewe kwako nani zaidi kati ya wataalam hao