Rishard, Mziray wanafiki no 1. Wakati ule wa fainali za kombe la mataifa ya Africa waliniudhi mbaya, kuna mechi moja refa aliboronga vibaya mno wao wakati wa uchambuzi wote wakasisitiza kuwa maamuzi ya utata yote yalikuwa sawa, yaani walinikera kidogo nipasue lunìnga... Ajabu baada ya siku mbili yule refa akaadhibiwa kwa kuboronga mechi ile!! Aliyekula Mayai na Matembele naye kila sentensi moja utasikia 'unless otherwise' hana lolote... Mtu ambaye ni kiboko ni Dk Licky tu, pamoja na vyombo vya habari vya bongo kuonekana kama vinambania siku hizi.