Kati ya hawa ni yupi ungetii amri yake

Kati ya hawa ni yupi ungetii amri yake

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,251
Uko zako unatembea mara pap! Anatokea mwanajeshi na bunduki mkononi anakuamrisha, simama!! Ghafla bin vuu anatokea mchungaji na bible mkononi anakuamrisha kwa jina la yesu, hakuna kusimama!!

Je ni yupi ungetii amri yake!!
 
Nitachanganya na akili zangu halafu namsikiliza mwanajeshi
 
Uko zako unatembea mara pap! Anatokea mwanajeshi na bunduki mkononi anakuamrisha, simama!! Ghafla bin vuu anatokea mchungaji na bible mkononi anakuamrisha kwa jina la yesu, hakuna kusimama!!

Je ni yupi ungetii amri yake!!
Jeshini huwa unasikiliza ile kauli ya mwisho ni sawa na uitwe na zaidi ya wanne kwenda juu ila ktk hao yule wa mwisho kuita ndie unamsikiliza kwanza
 
nadhani maombi yana nguvu zaidi ya uovu,nitamsikiliza baba mchungaji
 
Uko zako unatembea mara pap! Anatokea mwanajeshi na bunduki mkononi anakuamrisha, simama!! Ghafla bin vuu anatokea mchungaji na bible mkononi anakuamrisha kwa jina la yesu, hakuna kusimama!!

Je ni yupi ungetii amri yake!!
Kwanza natetea uhai wangu then nafsi hata kama ningekuwa mkristo ila kwa mimi muislam definetely nitamsikiliza huyo mshenzi mwenye bunduki bila kuifikiria option 2!
 
Mchungaji,,kwa sababu atakua ashaikemea bunduki ya mjeda na risasi ikitoka itakua maji"
 
Uko zako unatembea mara pap! Anatokea mwanajeshi na bunduki mkononi anakuamrisha, simama!! Ghafla bin vuu anatokea mchungaji na bible mkononi anakuamrisha kwa jina la yesu, hakuna kusimama!!

Je ni yupi ungetii amri yake!!
Kwa haraka haraka mimi nasimama yesu simjuiii kwakweli.
 
Mchungaji,,kwa sababu atakua ashaikemea bunduki ya mjeda na risasi ikitoka itakua maji"
Ohooo kawaulize waliomsikiliza Kinjekitile dhidi ya mabeberu, watakusimulia kwa masikitiko kilichowakuta. Hahhhahaha!!!
 
Tatizo hamna imani.me ningesepa kwa jina la yesu.[emoji23][emoji23][emoji23]mixer kuachia mishuzi ya uoga
 
Hahahahahahah kwa jinsi kulivyo na watumishi feki wengi siku hizi, namsikiliza mwenye ak47 sitaki mchezo na haka kapumzi kabisa
 
Back
Top Bottom