Jombaa hata God anasema jisaidie nikusaidie sio kufa kizembe namna iyoAaaah kwa iyo wewe Mungu wako humuamini au niaje mzee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjeda mzee,
Nyambafu. Badala ya kumtii Baba Mchungaji anayetaja jina la Yesu,wewe unamtii Mjeda!!!.Mjeda kitu gani wewe??.Mjeda mzee,
Wewe una IMANI, siyo hao jamaa Wengine.Mchungaji,,kwa sababu atakua ashaikemea bunduki ya mjeda na risasi ikitoka itakua maji"