wa mume aiseeSmile
Kweli wenye maamuzi ya mwisho ni couple wenyewe; lkn pale ambapo waanzisha vuguvugu ni ndugu, mara nyingi ni wa mume au wa mke?
wa mume aisee
wasione mtu unapumua? wspecially wanawake..
sijui tumeumbwaje ..... jamani
mamamkwe na mawifi mmmmh......
wa mume aisee
wasione mtu unapumua? wspecially wanawake..
sijui tumeumbwaje ..... jamani
mamamkwe na mawifi mmmmh......
Sometimes wa ndugu wa mkepia wanaweza kusababisha madhara ya ndoa ya ndugu yao. Kuna wanawake wengine ndoa zao au nyumba zao control ziko kwa mama zao na ni kitu ambacho kinakuwa kinamkera mume, from there the war starts.
kila jambo hutegemea natukio lakini kweli sisemi sana ila ndugu kwa pande zote wanatakiwa kujua ndoa sio yao ni ndoa ya walio amua kuungana na ktegeneza familia moja
wa mume aisee
wasione mtu unapumua? wspecially wanawake..
sijui tumeumbwaje ..... jamani
mamamkwe na mawifi mmmmh......
Smile
Kweli
wenye maamuzi ya mwisho ni couple wenyewe; lkn pale ambapo waanzisha
vuguvugu ni ndugu, mara nyingi huwa ni ndugu wa mume au wa mke? Kwa
uzoefu hata wa wazazi.
Mimi wazazi wangu walifikia kutengana kwa miezi kadhaa, thank God
walishinda na kuishi pamoja mpaka kifo kilipowatenfanisha!