Kati ya hizi gari mbili nichukue ipi "Mazda demio na Vitz new model"

Streptokinase

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Posts
276
Reaction score
436
Wataalamu habari zenu, najua mapambano ya kutafuta tonge la kila siku bado yanaendelea.

Nipo hapa kuomba msaada wa mawazo kati ya hizi gari mbili nichukue gari ipi. Gari inahitajika kwaajili ya mizunguko ya hapa mjini kwenda nayo kazini kila siku, na kufanyia kama part time.

Ningependa kujua kwa hizo shughuli ipi kati ya hizo gari mbili ni bora na kwanini ni bora, interms of fuel consumption, availability ya spares na durability.

Natanguliza shukrani.
IMG_0266.jpg

IMG_0265.jpg
 
Zote ni gari nzuri, Mazda Demio na Toyota Vitz zote zina fuel economy engines.
Utofauti mkubwa upo kwenye upatikanaji na gharama za spare. Kwa mazda spares zipo ila sio kwa wingi kama Vitz, vitz pia spares zake nyingi zinaingiliana na matoleo mengine ya Toyota, pia kuna utitiri wa mafundi wanaoweza kudeal na vitz (toyota) maana technology ya toyota imezoelka na wengi.

Pamoja na hayo, Mazda ni gari nzuri sana pia, ukiweza kuona kama utamudu ongezeko dogo la gharama za spare na kujua pa kuzipata pia basi utaenjoy (spare zake zipo si kwamba hazipo kabisa, ila sio kwa wingi kama za toyota).

Kwa vile litakua ni gari lako la matumizi ya kila siku, kwa mimi 55% nakushauri uemde na toyota vitz, 45% hiyo nenda na mazda demio.

Ila kama ni gari yako ya kwanza nakushauri nenda na vitz.
 
Shukrani sana mkuu.
 
Mtoa mada upo vizuri kwenye kufanya chaguzi maana haya magari yote yapo vizuri kwenye fuel consumption,uimara na spare parts pia ....
Mazda demio ni imara zaidi ya vitz kama utaweza jipinde kwenye hiyo gari pia kama upo DAR spare zake zipo nyingi Tu
 
Shukrani mkuu
 
Wataalamu habari zenu, najua mapambano ya kutafuta tonge la kila siku bado yanaendelea.

Nipo hapa kuomba msaada wa mawazo kati ya hizi gari mbili nichukue gari ipi. Gari inahitajika kwaajili ya mizunguko ya hapa mjini kwenda nayo kazini kila siku, na kufanyia kama part time.

Ningependa kujua kwa hizo shughuli ipi kati ya hizo gari mbili ni bora na kwanini ni bora, interms of fuel consumption, availability ya spares na durability.

Natanguliza shukrani.View attachment 2673882
View attachment 2673883

Zote sawa, ila spare za Mazda na mafundi waliozizkea yaweza kuwa changamoto
 
"Utanunuaje vitz mtu akitaka kukupa hela ya mafuta atakupa elfu 20 ,bora ununue dungu range ukipewa hela ya mafuta ni laki 5" - RC Chalamila
 
Wataalamu habari zenu, najua mapambano ya kutafuta tonge la kila siku bado yanaendelea.

Nipo hapa kuomba msaada wa mawazo kati ya hizi gari mbili nichukue gari ipi. Gari inahitajika kwaajili ya mizunguko ya hapa mjini kwenda nayo kazini kila siku, na kufanyia kama part time.

Ningependa kujua kwa hizo shughuli ipi kati ya hizo gari mbili ni bora na kwanini ni bora, interms of fuel consumption, availability ya spares na durability.

Natanguliza shukrani.View attachment 2673882
View attachment 2673883
Wewe ni KE au ME? Uko na kitambi? Mnene? Mrefu au mfupi?
Nahisi wadau wakijua haya watakushauli gari unayoendana nayo.
 
Chukua vitz yenye injini ya 2SZ inanibariki sana asee.
 
Km unaagiza tambua tu kodi ya izo gari za zaman imeongezeka sana ni vema ukaendelea kutembea kwa mguu utafte ata probox ya 2018 bei yake kdg icho chini lakin pia kodi yak ni ndg sabu iko chini ya miaka 5 km serikal ilivyoelekeza
 
Back
Top Bottom