Kati ya hizi kozi, ipi bora katika jamii na unayoweza kujiajiri?

Kati ya hizi kozi, ipi bora katika jamii na unayoweza kujiajiri?

hermane

New Member
Joined
May 16, 2024
Posts
3
Reaction score
6
Habari zenu, nilikua napenda kupata ufafanuzi kwenye hizo courses kwasababu mpka sasa hvi bado nawaza ipi ni course nzuri zaidi kuliko nyingine na inafurusa Pana katika jamii na Unayo weza kujiajiri kati ya courses zifuatazo

1. Public administration
2. Management of social development
3. Gender for development
4. Business administration
5. Marketing and public relations
6. Population and development planning
7. Environmental science
 
Back
Top Bottom