Kati ya information technology na accountancy nichukue ipi?

Status
Not open for further replies.

Marluck

Member
Joined
Oct 22, 2022
Posts
72
Reaction score
41
Naomba ushauri: Nimechaguliwa Chuo cha CBE kozi ya information technology IT na chuo cha TIA kozi ya accountancy nichague kozi gani yenye soko kubwa la ajira?
 
Naomba ushauri nimechaguliwa chuo cha CBE kozi ya information technology IT na chuo cha TIA kozi ya accountamcy nichague kozi gani yenye soko kubwa la ajila
Nenda Information Technology utakuja kunishukuru huko mbeleni ukikosa ajira za serikali@
 
Account imekufa hizo kazi za uhasibu hazipo zinafanywa na system
 
Naomba ushauri nimechaguliwa chuo cha CBE kozi ya information technology IT na chuo cha TIA kozi ya accountamcy nichague kozi gani yenye soko kubwa la ajila
IT ni nzuri zaidi ila kama hauna mawazo ya kuajiriwa pekee unaweza kujiajiri maana huduma za IT zinahitajika Kila sehemu siku hizi. Cha msingi soma kwa malengo na ujifunze vitu vingi ukiwa Bado chuo and make sure GPA Yako sio chini ya 3.5!!
 
Daaah shule kitambo kidogo. Sema kama umeamua kwenda kusoma kasome kweli kweli
 
Naomba ushauri nimechaguliwa chuo cha CBE kozi ya information technology IT na chuo cha TIA kozi ya accountamcy nichague kozi gani yenye soko kubwa la ajila
[emoji3516]
NENDA KADUFUE IT FASTA,
NA USIOMBE TENA USHAURI JUU YA HILO MKUU, WATAKUPOTEZA.

NISIKILIZE MIMI,
KADUFUE I.T NA SI VINGINEVYO.
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
IT ni nzuri zaidi ila kama hauna mawazo ya kuajiriwa pekee unaweza kujiajiri maana huduma za IT zinahitajika Kila sehemu siku hizi. Cha msingi soma kwa malengo na ujifunze vitu vingi ukiwa Bado chuo and make sure GPA Yako sio chini ya 3.5!!
KWA KOMENTI HII,
UZI UFUNGWE.
IMEMALIZA KILA KITU.
 
Naomba ushauri nimechaguliwa chuo cha CBE kozi ya information technology IT na chuo cha TIA kozi ya accountamcy nichague kozi gani yenye soko kubwa la ajila
Kwa Kuwa hujui ni ipi inakufaa, kusoma IT utapoteza muda. Sababu hauko interested nayo.

Kasome accountancy
 
Kuna IT hawana kazi, kuna accoutants hawana kazi. Kuna It wenye kazi kuna Accoutant wenye kazi. Kukosa ajira kwa hizi kozi ulizotaja kupo. Angalia passion yako na unavyojiona in 5 yrs kisha pambania ndoto zako na kumuomba MUNGU wako.
 
Go ... IT wigo ni mpana.. unaweza kuwa web dev, IT Tech, Graphics des, network adm,
Utachaguwa wewe huko u specialize wapi..

Kwa nini ulichaguwa IT na sehemu nyingine Acc.??

Kwanini CBE.?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom