Toa upunguani hapa.Shindanisheni maskini Kwa maskini wa Kanda ya ZiwaππWakuu
Hivi kati ya kahama na mbeya wapi pako vizuri kwa mazunguko wa pesa,unafuu wa gharama za maisha na ubora wa miundombinu?
Kahama imepigwa za chembe na Njombe Hadi ukakimbia jukwaa unakuja kuchangia upuuzi huku?Banks zilizopo Kahama ndugu yangu kyagata
Crdb 2 branch
NMB 2 branch
Azania 2 branch
NBC
TPB
Dtb
Kcb
Equity
Access bank
Finca
Boa
EXIM anakamilisha jengo.... 2be open soon
Twende mbele turudi nyuma, kulinganisha manispaa mpya ya kahama na Jiji la mbeya ni udhalilishaji na dharau, ni sawa na mtoto amefikia balehe sasa anataka kujifananisha na baba yakeKahama imepigwa za chembe na Njombe Hadi ukakimbia jukwaa unakuja kuchangia upuuzi huku?
Mbeya imepita level za Banks,Sasa hivi Ina host events kubwa kubwa kama huu Mkutano wa Idhaa za Kiswahili Duniani. ππ
View: https://twitter.com/TZWaziriMkuu/status/1769643669454250419?t=Oc2ewiuUmiZR41qT07Nd9Q&s=19
Gulio la Kahama linaweza ku host Mkutano wa wachawi na machinga tuu ,so ukome kulinganisha na Jiji la Mbeya.
Yaani Mkoa Mzima wategemezi ni 109? Mbona hakuna shida au ni kwa uwiano gani? NielewesheniToa upunguani hapa.Shindanisheni maskini Kwa maskini wa Kanda ya Ziwaππ
View: https://www.instagram.com/p/C4dQkZfIM0S/?igsh=cDk3N2I3bGR6bWZ6