Kati ya Kanye West,Lil Wayne,T.I na The Game nani zaidi?

Tukiangalia Swags and Floor kanye yuko mbali sana na pia Takwimu za MTVs Hottest rapper Kuanzia 2003-2013 kanye anaongoza pamoja na Rolling stone pia.
KANYE simply the best
 
T.I is the bestest rapper ever followed by da' nigga of west coast da' cronic himself THE GAME
hao wengne watoe kwny huu mchakato,hits za T.I Kama remember me,king is back,am back,what u know abou that, hell of a life,whatever u like,live your life,got your back e.t.c
The Game...Dreams,my life,can you believe it,one blood,california vacation,put you on the game e.tc hawa jamaa ni shidaaa..
 
Aliye leta collection ya hawa artist ndo sija muelewa! Game anafanya hip hop ya ladha tofauti sana na hao ulio mgroup nao! Lil wayne ni mkali wa kurap yaani swags ila kinachoimbwa ni majanga utaaskia money money b*****ches and etc!

Ukija kwa kanye, kanye ameanza kama producer inside aka generate nakuwa rapa but tatizo akabite swag za lil wayne na content kidogo! Kuna baadhi nymbo walizo fanya kanye na lil wayne some time hata kuwatofautisha sauti nikazi!

Ukija kwa TI. That guy also ni far differ from hao uliogroup nao!

Game kuanzia beats, kimashairi content yuko tofauti sana na hao! Ukinouliza kati ya hao nani anafanya true hiphop tuzo ntampa Game

Tukiangalia kwa mafanikio, kati ya wote ulio wataja hapo Lil wayne ndo anawaongozea, iwe kwa tuzo, pesa na nk! Kama mziki tena hip hop! Game kwangu ndio
 
Tafadhali msimweke Eminiem hapa ! Tuendelee na hao hao !

Eminiem ni kama malaika hivi ! Huwezi mfananisha na binadam wa kawaida !
 
Tafadhali msimweke Eminiem hapa ! Tuendelee na hao hao !

Eminiem ni kama malaika hivi ! Huwezi mfananisha na binadam wa kawaida !

Nilizielewa post zako zote huko juu, lakin hii sijakuelewa!!!

kwamba Eminem ndo the best rapper/Emcee alive???

kwamba ni malaika (mkali) huwez kumfananisha na binadam (rapper/emcee) mwingne???

kama ni kweli ntakuwa nimekushusha vyeo sana!!!..ukilinganisha na post zako za huko juu!!!
 
Hizo takwim zako zina nitia shaka haziko hivo! Kumbuka lil wayne 2008 mpaka 2011 ndio ilikua miaka yake ya mfanikio! Na takwim za mtv hottest rapper pia zina onyesha hivo!

Takwi halisi za hao Mtv ambao ni ka kikao tu ka watu wenye mawazo kama sisi kuanzia mwaka ulio utaja zime inklude wasanii 6 tofauti kuna 50 cent , kuna eminem kuna jayz kuna lil wayne kuna kany west! Kuna rosco dash mpaka niki minaj yupo! haija wai tokea kanye akaongoza toka mwaka ulio utaja mpaka 2013 haipo period!

Wamekuwa wakibadiliahana nafasi hiyo isipokua jay z ndo anaonekana kujirudia mara nyingi!
 

Nilichokiongea hapo nimeongelea ! Kulingana na rappers waliwekwa hapo !

Na kama mtiriko mzima ulivyo onesha kwamba ze best rapper ni T.I basi ukimchukua T.I na emminiem nadhani hata wewe utakubaliana na emminiem !



emminiem the best emcee kaka !
 


Jay-Z hata mashabiki wasipompa ujue jamaa wenyewe watampa!

Si unajua ! Hata Refa apige filimbi ushindi wanaumiliki !
Jamaa walinikela sana jinsi walivyomnyanyasa DMX

usikilize vizuri wimbo wake wa Lord Give me a Sign !

Yeah..Uh
In the name of Jesus
(that's right)
No weapon formed against me shall prosper
(preach)
And every tongue that shall rise against me
in judgment thou shalt condemn
(preach)
(Lord give me a sign)
For this is the heritage of the servants of the
Lord
(preach)
and their righteousness is of me, saith the
Lord.
(preach)
Amen
 
Yep! Jayz honestly he is incredible ! Ana nyimbo na album nyingi zilizo carry heats! Lakini pia ni never die artist since lyrical yuko so strong! Dmx one of the real hip hop artis alishindwa kupata nafasi hizo kutokana na kuimba gangsta hip hop sana! Ukiwaangalia hao jamaa wa mtv wana focous pia na publicity ya msanii kama bad scandles hasa sa gun possession, cocaine usage, and etc! Ukichunguza DMX ana fall sana kwenye hizo scandals

Hii imemkumba hata T.I sana! By the way Dmx is the best kwa kategori yake!

Kuna kina rick ross pia wamewahi kuwa hottest mc! Bad thing kwa 50 ambae ametoweka kabisa!
 
Namkubaligi sana T.I ingawa tokea ameanza kwenda jela haeleweki
 
Tafadhali msimweke Eminiem hapa ! Tuendelee na hao hao !

Eminiem ni kama malaika hivi ! Huwezi mfananisha na binadam wa kawaida !

Wazungu huwa wanakufuru wanamuita 'Rap God'.Yaani kweli ngozi nyeupe inatuzidi kilakitu,kitu ambacho mtu mweusi anaweza kukifanya mzungu anaweza kukifanya zaid.Kawaida wazungu huwa hawarap coz wanaamini ni mziki wa watu weusi,but Eminem kaamua kuukana uzungu wake na kufanya mziki wa watu weusi still anakimbiza wote.Jamaa ni mkali kiukweli,anafaa kuwa definition ya mziki wa 'kufokafoka',jamaa anaflow sijapata ona,huwez mfananisha na Lil Wayne anayerap kama anaongea
 
Kunakitu sija waelewa hapa Eminem mnaongelea style ya kuflow au mnaongelea lyrical! Eminem kwa style ya ku flow sawaaaa! Ila kama ni lyrics nope! Ana nyimbo nyingi hits za comedy! Kunawatu wanaimba hip jamni sema ndo hivyo! Watu ka akina common, gosby sio wa tz lakin? Taalib kwelii! Na nk! Tusimpaishe hiiiiivyo emine stil the new king yuko juu pale Jay z! Kwenye game kitambo sana
 

Comedy ndio kafanya nyingi but akiamuaga kutulia anatulia kweli,Jigga namuheshimu sana but Eminem kwangu naona ni talented zaid.Anavitu vingi vinafanya nimkubali, flow,lyrics,kufreestyle,pia anapumz sana anapoflow kitu ambacho wengi wanafeli
 

Kama ulitumia Mtiririko huo aliotoa Viol, nakubaliana na wewe!!!

Lakin unapokuwa unawataja Hip-Hop heads, Eminem anaweza akawepo lakin ni kwa nafas ndogo sana, ukilinganisha na Ufalme wake katika Mainstream Rap..Unapowataja Rappers wa US, kwa mtazamo wangu Eminem hana Mpinzani, but ukija upande EMCEES, Eminem ana nafas yake, lakin siyo kubwa sana!!!!
 
Namkubaligi sana T.I ingawa tokea ameanza kwenda jela haeleweki


Madawa ya Kulevya aliyokuwa akiyatumia !
Yalimwalibu !

Na Emminiem kamsaidia sana kuepukana na drugs addiction !

Angalia interview zake utaona !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…