Kunakitu sija waelewa hapa Eminem mnaongelea style ya kuflow au mnaongelea lyrical! Eminem kwa style ya ku flow sawaaaa! Ila kama ni lyrics nope! Ana nyimbo nyingi hits za comedy! Kunawatu wanaimba hip jamni sema ndo hivyo! Watu ka akina common, gosby sio wa tz lakin? Taalib kwelii! Na nk! Tusimpaishe hiiiiivyo emine stil the new king yuko juu pale Jay z! Kwenye game kitambo sana
Madawa ya Kulevya aliyokuwa akiyatumia !
Yalimwalibu !
Na Emminiem kamsaidia sana kuepukana na drugs addiction !
Angalia interview zake utaona !
Tafadhali msimweke Eminiem hapa ! Tuendelee na hao hao !
Eminiem ni kama malaika hivi ! Huwezi mfananisha na binadam wa kawaida !
Hahaha Jamaa Unachekesha Sana Hivi Wewe Una Mjua Mtu Anaitwa NAS
Hahaha Jamaa Unachekesha Sana Hivi Wewe Una Mjua Mtu Anaitwa NAS
inategemea unaonnge katika muktadha gani, kumbuka hawa wote wanaimba style ambazo hazifanani. the game anaimba gangstar hiphop, lil wayne anaimba commercial hiphop, T.I watu wa south wanasema commercial crank south hiphop, kanye west, anaimba commercial hiphop, mara chache sana anafanya hardcore hiphop, na hizi alikuwa anafanya wakati anatoka lakini most anafanya kwenye free stlye. hivyo wote ni wakali katika maeneo yao. ndio maana ukisikiliza watoto wa young money wanastaili yao, dr. dree na watu anaowatoa mfano the game utaona wengi wanafanya gangstar hiphop na hardcore hiphop, watoto wa south wana staili yao...
Nas nae anaimbaa lakin kafuliaa hivii yaan hawikiii
Nadhani album ya the Game iliyouzika ni pale alipotoa G-Unit wakawa na bifuThe Game, kuanzia ile album yake ya RED mpaka hii ya JESUS PIECES ni Commercial tupu..
Afu sasa cha kushangaza, amejikita kwenye commercial lakin mauzo ya Albums yameshuka kinoma, Ukilinganisha na zile hits zake za "The documentary" na "Doctor's Advocate"..hzo gangsta shit zilikuwa dope sana, Pamoja na L.A.X kwa mbali na alikuwa anapga hela sana kwenye stores!!!!..but alivyokuja kicommercial na The R.E.D album pamoja na hii ya JESUS PIECES, mchiz mauzo yake yamedrop sana, pamoja na kwamba zote zilidebut #1 kwny US Billboard200, but zilidrop fasta sana..syo kama ilvyozoeleka!!!
Nadhani album ya the Game iliyouzika ni pale alipotoa G-Unit wakawa na bifu
Lil Wayne amepewa jila la 'rap genius' ikimaanisha katika rap ni gwiji.....
Halafu rap ni tofauti tofauti so huo ulinganisho kwa hawa mastaa hauwezekani kila mtu ana ustadi wa aina yake