Kwani kijani wanataka nini na hawataki nini?Kwani Chadema wanataka kipi kianze
Wapi busy kutekeleza ilani ya chama cha kijani. Na katiba haipo kwenye ilani yao ya uchaguIKwani kijani wanataka nini na hawataki nini?
Vyote huenda pamoja!Katiba mpya inabeba ndani Tume Huru.Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa kipindi kirefu vimekuwa na madai mbalimbali yanayousiana na swala zima la chaguzi za kisiasa , madai haya yamekuwa yakibadilika badilika kulingana na serikali iliyopo madarakani...
Nimejaribu kupeleleza bwana wa siasa za east africa ni Kenya .Kenya wakifanya jambo lolote ujue na Tz na UG na wengine lazima watafanya .Katiba mpya ni muhimu zaidi coz itatupa tume huru isio na makando kando
Vyote ni muhimu thought katiba ndiyo inaweka mamlaka ya watawala na watawaliwa yaweje.Vyote vikae pembeni, uchumi kwanza π
Umeisoma katiba iliyopo?Katiba mpya ni muhimu zaidi coz itatupa tume huru isio na makando kando
Muundo wa Tume ya Uchaguzi ni sehemu ya katiba ya nchi. Siyo vitu viwili tofauti. "it is only a naive person that separates the two".Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa kipindi kirefu vimekuwa na madai mbalimbali yanayousiana na suala zima la chaguzi za kisiasa , madai haya yamekuwa yakibadilika badilika kulingana na serikali iliyopo madarakani...
Vyote vikae pembeni, uchumi kwanza π