Kati ya kilimo cha Minazi ama korosho kipi kinafaa?

Nyangabo2022

Senior Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
126
Reaction score
195
Habari zenu wote humu jukwaan!

Nmejikuta natamani kufanya uwekezaji wa kudumu kwa kujikita kwenye kilimo Cha kudumu nahitaji kuchagua kulima moja Kati ya minazi au korosho!

Mazingra niliyopo miti tajwa inastawi! je nichague kipi kwa kuzngatia kilimo tija chenye changamoto chache, tuzngatie faida wakuu!

Uzeeni nataka nisifanye kilimo Cha kukimbizana kila msimu. Karbun.
 
Mkuu mimi ni mdau wa kilimo na ufugaji. Lakini kwa mazao uliyotaja sina ufahamu nayo
tofauti na kusoma mitandaoni.

kwa jinsi navyoona korosho ipo vzr kushinda nazi. shida ya korosho hadi serkali iweke mkono
ukija kwenye nazi muda wowote na wakati wowote unauza!

Ningeshauri upande nazi za kisasa hii kwa kutumia utashi wangu tu ahsante.
jiwe angavu
Yeyote Yoyote
Edsheraan
Mr kenice
 
Habari zenu wote humu jukwaan!
Nmejikuta natamani kufanya uwekezaji wa kudumu kwa kujikita kwenye kilimo Cha kudumu nahtaj kuchagua kulima moja Kati ya minazi au korosho! Mazingra nlyopo miti tajwa inastawi! je nichague kipi kwa kuzngatia kilimo tija chenye changamoto chache, tuzngatie faida wakuu! Uzeen nataka nisifanye kilimo Cha kukimbizana kila msimu. Karbun.
Big idea bos.minazi naona ndo utakula kiulaini .japo sio mzoefu saana
 
Habari zenu wote humu jukwaan!
Nmejikuta natamani kufanya uwekezaji wa kudumu kwa kujikita kwenye kilimo Cha kudumu nahtaj kuchagua kulima moja Kati ya minazi au korosho! Mazingra nlyopo miti tajwa inastawi! je nichague kipi kwa kuzngatia kilimo tija chenye changamoto chache, tuzngatie faida wakuu! Uzeen nataka nisifanye kilimo Cha kukimbizana kila msimu. Karbun.
Kama mtoto wako yupo chekechea na unataka kupanda kwa ajili ya kumsomeshea chuo na kumpa utithi... Korosho ni Bora otherwise weka mnazi baada ya miaka mitatu tu una Busha na maisha yanasonga!
 
Sawa kaka, watoto Wang wengne hata chekechea hawajaanza, wakwanza yupo la nne ko km Mungu aspoamua vingnevyo bado nna kesho nyingi Sana.
 
Korosho ni nzuri kwa maana ya muda wake ni mfupi kuanzia miaka mitatu itaanza kujifundisha.Pamoja na changamoto nyingine zilizotajwa hapo juu na wadau korosho inataka uwe na pesa mfuko wa shati kwa maana ina nata huduma za papo kwa hapo kama madawa ya wadudu na kadhalika.

Minazi haswa ya asili nayo ni superb haswa,sikushauri ya kisasa.
Minazi haina gharama kubwa za uhudumiaji kama mikorosho ni wastani wa miaka saba ila kwenye upande wa soko hakuna longolongo.

Ushauri wangu kama uko na kipato kizuri weka minazi ya asili mkuu baada ya miaka saba njoo utoe ushuhuda hapa.
 
Na mapato ya Nazi kaka yapoje ukilinganisha na korosho?

..kama una uwezo lima korosho, na nazi.

..kwanza inaelekea una interest na mazao yote.

..pili inaelekea uko ktk eneo ambalo korosho, na nazi, zinastawi.

..tatu, mazao hayo yana tabia, faida, na changamoto, tofauti.

..korosho zina faida kubwa ila tatizo lake ni gharama za matunzo haswa madawa.

..nazi ni zao lisilo la msimu, tatizo lake inachukua muda mrefu toka kupandwa hadi kuvunwa. Pia watafiti hawajaweza kutoa mbegu ya kisasa inayotoa mavuno mengi.

..Watanzania pia hatujajiongeza kuhusu kuongeza thamani ktk korosho, au nazi.

..wenzetu wanauza maji ya nazi, mafuta, tui, matawi yanatumika kuezeka, na vifuu vya nazi wanatengeneza udongo mbadala wa kwenye bustani.

..ushauri wangu ni ulime nazi, na korosho. Siku bei ya zao moja ikiwa sio nzuri zao la pili litakuokoa. Pia usisahau kulima zao la kati / msimu litakalokupitisha kipindi ukisubiri mikorosho, na minazi, ikue.
 
Umenena vyema kiongozi nitazngatia
 
Habari zenu wote humu jukwaan!

Nmejikuta natamani kufanya uwekezaji wa kudumu kwa kujikita kwenye kilimo Cha kudumu nahitaji kuchagua kulima moja Kati ya minazi au korosho!

Mazingra niliyopo miti tajwa inastawi! je nichague kipi kwa kuzngatia kilimo tija chenye changamoto chache, tuzngatie faida wakuu!

Uzeeni nataka nisifanye kilimo Cha kukimbizana kila msimu. Karbun.
Kwa niliyoyasikia toka kwa wazoefu, korosho ni bora zaidi. Nimeambiwa kule Mtwara na Lindi kuna vijana na wazee waliopata umilionea kutokana na korosho.
 
Kama mtoto wako yupo chekechea na unataka kupanda kwa ajili ya kumsomeshea chuo na kumpa utithi... Korosho ni Bora otherwise weka mnazi baada ya miaka mitatu tu una Busha na maisha yanasonga!
Busha tena
 
Back
Top Bottom