Nyangabo2022
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 126
- 195
Big idea bos.minazi naona ndo utakula kiulaini .japo sio mzoefu saanaHabari zenu wote humu jukwaan!
Nmejikuta natamani kufanya uwekezaji wa kudumu kwa kujikita kwenye kilimo Cha kudumu nahtaj kuchagua kulima moja Kati ya minazi au korosho! Mazingra nlyopo miti tajwa inastawi! je nichague kipi kwa kuzngatia kilimo tija chenye changamoto chache, tuzngatie faida wakuu! Uzeen nataka nisifanye kilimo Cha kukimbizana kila msimu. Karbun.
Kama mtoto wako yupo chekechea na unataka kupanda kwa ajili ya kumsomeshea chuo na kumpa utithi... Korosho ni Bora otherwise weka mnazi baada ya miaka mitatu tu una Busha na maisha yanasonga!Habari zenu wote humu jukwaan!
Nmejikuta natamani kufanya uwekezaji wa kudumu kwa kujikita kwenye kilimo Cha kudumu nahtaj kuchagua kulima moja Kati ya minazi au korosho! Mazingra nlyopo miti tajwa inastawi! je nichague kipi kwa kuzngatia kilimo tija chenye changamoto chache, tuzngatie faida wakuu! Uzeen nataka nisifanye kilimo Cha kukimbizana kila msimu. Karbun.
Sawa kaka, watoto Wang wengne hata chekechea hawajaanza, wakwanza yupo la nne ko km Mungu aspoamua vingnevyo bado nna kesho nyingi Sana.Kama mtoto wako yupo chekechea na unataka kupanda kwa ajili ya kumsomeshea chuo na kumpa utithi... Korosho ni Bora otherwise weka mnazi baada ya miaka mitatu tu una Busha na maisha yanasonga!
Ushaur mzur mkuu, mpunga, mahind, karanga, ufuta nk pia tunaambana nazo..usisahau kupanda zao la muda mfupi litakalokubeba mpaka pale mikorosho au minazi itakapoanza kuzaa.
Na mapato ya Nazi kaka yapoje ukilinganisha na korosho?Wekeza kwenye nazii mkuu, utakuka kiulaini
Na mapato ya Nazi kaka yapoje ukilinganisha na korosho?
Umenena vyema kiongozi nitazngatia..kama una uwezo lima korosho, na nazi.
..kwanza inaelekea una interest na mazao yote.
..pili inaelekea uko ktk eneo ambalo korosho, na nazi, zinastawi.
..tatu, mazao hayo yana tabia, faida, na changamoto, tofauti.
..korosho zina faida kubwa ila tatizo lake ni gharama za matunzo haswa madawa.
..nazi ni zao lisilo la msimu, tatizo lake inachukua muda mrefu toka kupandwa hadi kuvunwa. Pia watafiti hawajaweza kutoa mbegu ya kisasa inayotoa mavuno mengi.
..Watanzania pia hatujajiongeza kuhusu kuongeza thamani ktk korosho, au nazi.
..wenzetu wanauza maji ya nazi, mafuta, tui, matawi yanatumika kuezeka, na vifuu vya nazi wanatengeneza udongo mbadala wa kwenye bustani.
..ushauri wangu ni ulime nazi, na korosho. Siku bei ya zao moja ikiwa sio nzuri zao la pili litakuokoa. Pia usisahau kulima zao la kati / msimu litakalokupitisha kipindi ukisubiri mikorosho, na minazi, ikue.
Tatizo la Korosho Bei zake apart from demand and supply determinants kuna tashwishi nyingi za kisiasa
Uzuri wa Nazi/Minazi hazina hizo political determinants
Kwa niliyoyasikia toka kwa wazoefu, korosho ni bora zaidi. Nimeambiwa kule Mtwara na Lindi kuna vijana na wazee waliopata umilionea kutokana na korosho.Habari zenu wote humu jukwaan!
Nmejikuta natamani kufanya uwekezaji wa kudumu kwa kujikita kwenye kilimo Cha kudumu nahitaji kuchagua kulima moja Kati ya minazi au korosho!
Mazingra niliyopo miti tajwa inastawi! je nichague kipi kwa kuzngatia kilimo tija chenye changamoto chache, tuzngatie faida wakuu!
Uzeeni nataka nisifanye kilimo Cha kukimbizana kila msimu. Karbun.
NotedKwa niliyoyasikia toka kwa wazoefu, korosho ni bora zaidi. Nimeambiwa kule Mtwara na Lindi kuna vijana na wazee waliopata umilionea kutokana na korosho.
Kiukweli mkuu minazi ni utajiriKwa niliyoyasikia toka kwa wazoefu, korosho ni bora zaidi. Nimeambiwa kule Mtwara na Lindi kuna vijana na wazee waliopata umilionea kutokana na korosho.
Busha tenaKama mtoto wako yupo chekechea na unataka kupanda kwa ajili ya kumsomeshea chuo na kumpa utithi... Korosho ni Bora otherwise weka mnazi baada ya miaka mitatu tu una Busha na maisha yanasonga!