Kabisa na inategemea hali ya mambo ipoje uzuri nimeingia field nafahamu kabisa50/50
Si rahisi kama unavyofikiri kwenye kununua mazao kuna undava SanaNunua mazao itakuwa nzuri zaidi kama una access ya kununua mpunga itakuwa bora zaidi weka stock huku ukisubiri bei ichangamke then koboa mpunga wako uza mchele.
naam kote ni kupambana tu, kikubwa angalia kipi kinawezekana kwakoKabisa na inategemea hali ya mambo ipoje uzuri nimeingia field nafahamu kabisa
Mkuu watu kama wewe mnawarudisha nyuma na kuwavunja moyo sana vijana wenzetu!Kwa 20m bora ununue na kuuza tu
Kilimo kinataka hela ndefu sana, kama umeamua kuingia mazima.
Kilimo kinalipa sana ila na investment iwe kubwa pia.
Kilimo cha umwagiliaji na shamba likiwa kubwa na zana ukiwa nazo kama tractor basi utajiri upo huko.
Pambana na mazao ila napo faida yake unapoyahifadhi kwa mda wa miezi kadhaa
Ila kwa hizo hela anza na kuuza ila usitume mtu nenda mwenyewe field
Ni kweli usemalo lakini pia ujue kila mmoja ana mawazo yakeMkuu watu kama wewe mnawarudisha nyuma na kuwavunja moyo sana vijana wenzetu!
Imagine umesema m20 ni ndogo haitoshi kwenye kilimo serious? Kwamba kulima lazima uwe na tractor tu ?
Tractor inalima sh 50-60k kwa heka huwezi kodi ikakulimia?Mimi ni mkulima japo sio mkubwa ni mdogo tu
Basi shemeji yangu huwa analima kwa kukodi mashamba na tractor muda mwingine kwa majembe yanayo kokotwa na ng'ombe mwaka huu kulikuwa na changamoto ya mvua lakini ana magunia 470 ya mpunga utasemaje kulima hadi uwe na trctor tu?
Yani kama mi alinivunja moyo sana, nikabaki kimya tuu hata kuchangia mada nikaogopa.Mkuu watu kama wewe mnawarudisha nyuma na kuwavunja moyo sana vijana wenzetu!
Imagine umesema m20 ni ndogo haitoshi kwenye kilimo serious? Kwamba kulima lazima uwe na tractor tu ?
Tractor inalima sh 50-60k kwa heka huwezi kodi ikakulimia?Mimi ni mkulima japo sio mkubwa ni mdogo tu
Basi shemeji yangu huwa analima kwa kukodi mashamba na tractor muda mwingine kwa majembe yanayo kokotwa na ng'ombe mwaka huu kulikuwa na changamoto ya mvua lakini ana magunia 470 ya mpunga utasemaje kulima hadi uwe na trctor tu?
bora kununua, ila uwe na timing nzuri, store, na pia uelewa wa soko.Habari ya leo ndungu zanguni, Jackson hapa. Naitaji ushauli ndugu zangu
Hivi kati ya kujikita kwenye kilimo au kujikita kwenye kununua mazao kipi kinafaida kubwa? Na kipi kina risk kubwa?
Kwa maoni yako wewe kama wewe let’s say una mtaji wa 20M TZshillings unaweza kuwekeza kwenye kilimo au kwenye kununua Mazao? Thanks in advance!!
mijadala ndo inabidi iwe hivi , positive side na changamoto zake --- ndo mtu baadae unaandaa mkakatiYani kama mi alinivunja moyo sana, nikabaki kimya tuu hata kuchangia mada nikaogopa.
Kabisa, lakini ndo useme 20M ndogo ?mijadala ndo inabidi iwe hivi , positive side na changamoto zake --- ndo mtu baadae unaandaa mkakati