Kati ya kilimo na kuuza mazao kipi kina faida?

Pamoja sana mkuu m20 ni mtaji mkubwa na unatosha kabisa. Hata kama ukiwa na m100 Bado utaona haikutoshi.
 
Kama ni kilimo cha umwagiliaji sawa ni bora kuliko kununua na kuuza mazao.Ila kama ni kile kilimo cha kutegemea mvua utakufa siku si zako
 
Hahahaaa dah!
Hata mimi nlivosoma comment ya jamaa nmeshtuka kidogo maana wengine tulianza kilimo kwa pesa ndogo sana hadi tunaogopa kutaja figure hapa maana wadau watahis tunadanganya.

Lkn mpaka sasa tuko vzr kweny kilimo na tunaendelea kushauri watu waachane na kilimo cha kweny simu maana kinapotosha na kukatisha tamaa watu wengi sana
 
Nenda kauuze mazao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…