Kati ya King Kaka 'Wajinga nyinyi' na Roma Mkatoliki 'Anaitwa Roma' upi umekuwa mziki uliowakosesha usingizi watawala kwa kufungia mwaka 2019?

cmoney

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
3,570
Reaction score
5,508
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Nmefuatilia hawa manguli wawili kwenye muziki wa kufokafoka R.O.M.A (Rhymes Of Magic Attraction) na KING KAKA aka Rabit aka rhymilionear na nyimbo zao mpya Wajinga Nyinyi na Anaitwa Roma ambayo kila mmoja kwa wakati wake umeleta tafaruku mbalimbali kenya na Tanzania ilipotolewa kwa kuwachana watawala wadharimu bila kuficha neno.

Jambo hili limesababisha Roma mpaka sasa kuendelea kubaki marekani wajuvi wakisema anaogopa akija kufanywa kibaya na Rabit kufikia kutishiwa maisha na kutaka funguliwa mashtaka hadi wananchi kuanzisha hashtag #istandwithkingkaka

Je, mnahisi msanii yupi ameweza iteka vizuri jamii na anastahili kupewa tuzo ya mistari bora kabisa kufungia mwaka 2019?Nawasilisha wanajamvi

Attachments

  • OIPLASGWNX0.jpg
    OIPLASGWNX0.jpg
    15 KB · Views: 1
  • roma1.jpg
    roma1.jpg
    51.5 KB · Views: 1
ah ah true story halafu mziki beat kama church...lakini hata roma mzee naye kasumbua sana kwe anaitwa roma
Roma style yake ile ya kurap tunaipenda hasa sisi vijana.

King Kaka,style ya ushairi aliyoitumia bila biti mtu yoyote yule awe kijana,mtoto au mzee anasikiliza.

Yule Bi mkubwa wa YNS aliyemchana kampa masaa 48 afute nyimbo zake ktk platform zote,la sivyo anamshitaki na masaa 48 yashapita,ila nyuma yake jamaa naona ana support kubwa.
 
kweli lakini mi mwenyewe nilianza sikia twitter wakimsahmbulia..lakini mbona naona jamaa wala hajatukana mtu..kikubwa ametumia uwezo wake wa fasihi kufikisha ujumbe kwa hadhira ..ila all in all yupo vizuri
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Nmefuatilia hawa manguli wawili kwenye muziki wa kufokafoka R.O.M.A (Rhymes Of Magic Attraction) na KING KAKA aka Rabit aka rhymilionear na nyimbo zao mpya Wajinga Nyinyi na Anaitwa Roma ambayo kila mmoja kwa wakati wake umeleta tafaruku mbalimbali kenya na Tanzania ilipotolewa kwa kuwachana watawala wadharimu bila kuficha neno.

Jambo hili limesababisha Roma mpaka sasa kuendelea kubaki marekani wajuvi wakisema anaogopa akija kufanywa kibaya na Rabit kufikia kutishiwa maisha na kutaka funguliwa mashtaka hadi wananchi kuanzisha hashtag #istandwithkingkaka

Je, mnahisi msanii yupi ameweza iteka vizuri jamii na anastahili kupewa tuzo ya mistari bora kabisa kufungia mwaka 2019?Nawasilisha wanajamvi

I salute both
 
Back
Top Bottom