Kati ya kitunguu na maziwa ya mtindi kipi hunukisha zaidi mdomo wa mtumiaji wake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Karibu katika kulijadili hili kama kichwa cha habari kinavyosema.
 
Huwa Natumia Kitunguu Swaum Hicho Kinauwezo Wa Kunukisha Mdomo Sana Kwa Harufu Yake
Unaweza Kutumia Saa Saba Mchana Hadi Usiku Wa Saa Mbili Harufu Ipo.

Maziwa Mtindi Kwa Upande Wangu Nadhani Baada Ya Kutumia Huchukua
Muda Mfupi Sana Kwisha Harufu Yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…