Kabla ya kuongezwa kwa idadi ya Team zitakazocheza mashindano ya CAF Champions League na Confederation ilikuwa bingwa wa league anaenda Champions League na bingwa wa wa FA anaenda Confederation.
Baada ya League kuisha msimamo ukawa
1.Simba
2.Yanga
3.Azam
4.KMC
Na kwenye FA Cup Azam na Lipuli zilifika fainali na Azam kuwa bibgwa.
Je Kati ya KMC na Lipuli ni nani alistahili kwenda Confederation Cup?