Awe mkali yeye mbwa?
Koffi ni legendary/icon.., usimlinganishe kabisa na yeyote yule..
Kwa Status ya sasa Koffi ni wa Pili baran Afrika kwa mkwanja akizidiwa na P-Square pekee!
lakini mkuu p-square si jamaa wawili hawa?
Koffi amemzidi Werrason kipesa na kimziki pia, hilo halina ubishi
Si wamezaliwa siku moja auuu! !!!!
Sikuwa na maana hiyo,nilichowaza ni kuwa muuliza swali alitaka kujua mafanikio ya mtu mmoja mmoja na siyo kundi.
lakini mkuu p-square si jamaa wawili hawa?