Kati ya Kondoa au Karatu, wapi ntapata faida nikilima vitunguu?

Kati ya Kondoa au Karatu, wapi ntapata faida nikilima vitunguu?

Bentley

Member
Joined
Mar 25, 2023
Posts
30
Reaction score
18
Habari za majukumu wakuu,

Naomba kujua mwenye uzoefu na kilimo cha vitunguu, katika eneo la Kondoa au karatu wapi naweza pata faida, mtaji wangu ni tshs 100,0000.
 
Samahan Wakuu ni typing error , nilimaanisha vitunguuu na sio vitu guy
 
Back
Top Bottom