Kati ya kuchimba block na kuweka siilivu ama kutanua block toka standard kuwa size 25 na kuendelea kipi ni bora?

Kati ya kuchimba block na kuweka siilivu ama kutanua block toka standard kuwa size 25 na kuendelea kipi ni bora?

Mbegu Kilewa

Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
37
Reaction score
22
Habari zenyu ..
Ma engineer..
Naomba kujuzwa kwa uzoefu wenu kuwa..
Kati ya kuchimba block na kuweka siilivu ama kutanua block toka standard kuwa size 25 na kuendelea kipi ni bora hapo!!??
Ufanisi na uimara upo wapi hapo
 
Back
Top Bottom