Mbegu Kilewa Member Joined Jul 18, 2012 Posts 37 Reaction score 22 Nov 17, 2022 #1 Habari zenyu .. Ma engineer.. Naomba kujuzwa kwa uzoefu wenu kuwa.. Kati ya kuchimba block na kuweka siilivu ama kutanua block toka standard kuwa size 25 na kuendelea kipi ni bora hapo!!?? Ufanisi na uimara upo wapi hapo
Habari zenyu .. Ma engineer.. Naomba kujuzwa kwa uzoefu wenu kuwa.. Kati ya kuchimba block na kuweka siilivu ama kutanua block toka standard kuwa size 25 na kuendelea kipi ni bora hapo!!?? Ufanisi na uimara upo wapi hapo