Kati ya kutunza Fedha zako Benki kama Akiba yako ya baadae au Uwekeze katika Ardhi (Kununua tu Viwanja) ipi ni Mkombozi Kwako kwa baadae Maishani?

OKey upo sahihi kabisa

In 8 years
Mwenye nyumba hela yake itarudi 280 na atakuwa ana nyumba
Wewe na 600M+ utaweza kujenga nyumba kama ambayo ilikuwa 280M ujenzi 8years ago?
Cement tu imetoka 10000 hadi 20000 in 3 years 😃
Viwanja goba/Madale vimetoka 10M to 100M in 5 years
 
Vipi kuhusu kupanda kwa thamani ya ardhi unaweza kufananisha na faida ya fixed deposit?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…