young_mesult
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 133
- 35
Habari zenu wapendwa...
Ni hivi kati ya land manangement na geomatics ipi ni kozi nzuri zaidi..zote zinatolewa ardhi zote miaka 4 zote ni priority katika mikopo...naomba kujuaa ipi ni nzuri zaidi katika soko la ajira bongo kuanziaa kujiajiri mpaka kuajiriwa...
msaada wenu kwa hili please!