young_mesult
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 133
- 35
Umesoma nn A level na scores zimekaaje??
PCM mkuu nina 3-11 CBC
PCM mkuu nina 3-11 CBC
Sijajua competition mwka huu ikoje. Ila Geomatics poa, na uwe na msuli wa kutosha wa Physics na Maths!! Huchelewi kurudi home mwaka wa kwanza tu!
PCM mkuu nina 3-11 CBC