Kati ya maafisa elimu mikoa 21, wakristo ni 16 waislam 5 tu!

Status
Not open for further replies.

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,102
Source: Radio Imaan FM ktk kipindi cha mwangaza kwa jamii.
 
Hivi huu udini wa nini?hawa maafisa wanasimamia misikiti au makanisa?Jamani mada hizi hazina tija
 
mwisho wa dunia wakaribia yeye akiwa mkiristo au mwislam unapungukiwa na nini?
 
Hiyo radio ilikusudia kufikisha ujumbe gani!!na ww uliyeileta huku ulikusudia nini!?!
 
Wamehoji usawa ktk ajira na elimu uko wapi nchini?
 
source: Radio imaan fm ktk kipindi cha mwangaza kwa jamii.

dawa ni kuacha kuoa watoto miaka 14-18,mnaoa mpaka wa 4,mama na baba malezi f!!madrasa!!!!acheni kubwabwaja!!!!dawa elimu dunia!!!!mara nyerere nyerere!!!haya kikwete anawabeba!!hakuna kitu mn tu nchi yetu!!!avuruga
 
Eti hakuna muislam aliyewahi kuwa katibu mtendaji wa NECTA
 
Hiyo radio inatafuta wachumba??


Kama kweli wanatangaza upu..pu wa namna hiyo basi wanajishusha thamani kiasi ambacho hakiweza kuvumilika na uhalali wao wa kuendelea kurusha matangazo unatia shaka!!

Babu DC!!
 
Kwa hiyo?!, au hawana taaluma yeyote? Au ni watoto wa Ridhiwan?!!
 
Ni vyema tukajiuliza na sehemu nyingine pia kama kwetu udini unatangulia kabla ya utaifa, uzalendo, uadilifu na uchapa kazi?? Tujiulize na maswali kama haya:
Na katika viongozi wakuu wa kitaifa, waislam ni wangapi na wakristo ni wangapi? Na katika mawaziri waislam ni wangapi na wakristo ni wangapi? Na katika wabunge waislamu ni wangapi na wakristo ni wangapi? Katika wakurugenzi waislamu ni wangapi na wakristo ni wangapi??? Na katika madereva hiace/dcm/costa/mabus ya mikoani waislamu ni wangapi na wakristo ni wangapi??? Katika daladala uliyopanda leo kwenda kazini kwako waislamu walikuwa wangapi na wakristo wangapi?? Na katika wenye magorofa pale kariakoo/posta/etc waislam ni wangapi na wakristo ni wangapi?? Etc.. etc..etc. The list can grow very big.
Haya yote yanaonyesha taifa letu halina nguzo za kitaifa, ndo maana watu kama redio zenye leseni yenye masharti wazi kabisa inaweza kuanzisha mjadala kama huo, na viongozi wa nchi wakiwemo waliotoa hizo leseni wakakaa kimya.
Tukitaka kuibomoa nchi hii tuendeleze udini, na tuziachie radio kama hizo ziendeleze hiyo mijadala
 
Source: Radio Imaan FM ktk kipindi cha mwangaza kwa jamii.

Hizi radio za ajabu sana halafu kwa taarifa yao si woote ambao si waislam ni wakristu, sasa wale wanaoabudu miti wasemaje! hawana afisa elimu!? hii HALUFU KAILETA JK NI MBAYA SANA!
 
5 ni wengi sana na wamependelewa, hasa ukikokotoa uwiano wa wasomi ktk hizo pande mbili.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…