Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Kwani wamekuvalisha wewe?Mabinti wanajua kwenda na kipindi sana, huwa wakishakariri kitu mpaka wanaboa yaani, hata kama cha ajabu.
Kuna mtindo siku hizi wa kuvaa miwani. Tuache wale wanaovaa kutokana na matatizo ya macho.
Kuna wengine wanavaa kama urembo lakini it's too much. Utakuta miwani mikubwa imeziba uso mzima. Hudiriki kujipigilia ya tinted siku hizi au ya rangi fulani ya kuwaka waka hivi.
Ukienda kulala nae mpaka unajistukia, maana hawavui.
Mabinti wanajua kwenda na kipindi sana, huwa wakishakariri kitu mpaka wanaboa yaani, hata kama cha ajabu.
Kuna mtindo siku hizi wa kuvaa miwani. Tuache wale wanaovaa kutokana na matatizo ya macho.
Kuna wengine wanavaa kama urembo lakini it's too much. Utakuta miwani mikubwa imeziba uso mzima. Hudiriki kujipigilia ya tinted siku hizi au ya rangi fulani ya kuwaka waka hivi.
Ukienda kulala nae mpaka unajistukia, maana hawavui.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuh. Wanalala hadi na miwani lol.
Haya ngoja waje wakwambie wanaogopa nini.
Hahaa. Kwani mdogo wangu na wewe unavaa miwani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeh dada navaa lkn sio ya urembo Ila likubwa saaaaaanaaaaaa had watoto wananiogopa[emoji4]Hahaa. Kwani mdogo wangu na wewe unavaa miwani?
acha ngono, waache mabinti waende shuleUkienda kulala nae mpaka unajistukia, maana hawavui.