kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
Nashindwaga kuelewa, maji ya uvuguvugu ndiyo maji gani?, yaliyochemshwa sana?, au yaliyochemshwa kidogo?Ya uvuguvugu
Panadol zina nguvu ila zina madhara.Panadol ndyo zinanguvu Mkuu
Maji ya uvuguvugu na ya kawaida hayawezi kuwa sawa ki-mechanism hata siku moja. Kwahiyo hapo lazima kutakuwa na yapi ni zaidi kuliko mwenziye.Yote sawa kazi ya maji ni moja kwa aina zote
Yaliyochemshwa sanaNashindwaga kuelewa, maji ya uvuguvugu ndiyo maji gani?, yaliyochemshwa sana?, au yaliyochemshwa kidogo?
Ukipiga mara ya uvuguvugu, mara ya kawaida, huoni kama unachanganya madawa?Mi huwa napiga ya uvuguvugu na ya kawaida kama lita 6 kwa siku na mambo yanaenda poa tu
Hata yaliyochemshwa kidogo si sawa tu?, au mpaka yachemshwe sana?Yaliyochemshwa sana
UvuguvuguUkipiga mara ya uvuguvugu, mara ya kawaida, huoni kama unachanganya madawa?
Unavyoona wewe, ya uvuguvugu na ya kawaida, yapi yana nguvu zaidi kitiba?
Duh!, barafu tena?Me naona barafu ndio sawa
1: Hiyo hali ya joto kuliko ya tumbo inayosababishwa na maji ya uvuguvugu ina madhara au faida kiafya?Nionavyo mimi, maji ya uvuguvugu yanakua na joto zaidi kuliko hali ya tumbo kwa maana ya ujoto ndo maana ukipiga haya lazima ukashushe vitu vizuri.......Maji ya kawaida yanakua na joto ndogo kuliko hali ya tumbo. Maji ya uvuguvugu hukata kiu zaidi kuliko maji ya kawaida.