Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
CCM hawana jambo dogo, nyinyi mnajitoa wao na vyama vingine wanashiriki uchafuzi huo. Kwa kuwa vyama vingine hivyo havina nguvu ya kupambana CCM vinajikuta vimesaidia ccm kuingia madarakani kirahisi sana.
Figisu hizi zinazofanywa sasa na watendaji wa mitaa ambao ndiyo wasimamizi wa uchaguzi lengo ni kupima imani ya chadema ili ijitoe kwenye uchaguzi na ccm lengo lake litimie kwa kushinda kwa kishindo. Katu hilo lisiluhusiwe.
Viongozi wa chadema walioenguliwa kwenye mchakato wakate rufaa hata kwa kulala kwenye ofisi za watendaji mpaka majina yao yarudishwe kwenye kichang'anyiro cha uchaguzi.
Mabadiliko nchi hii yatakuja endapo wananchi kwa umoja wao watasimama kupinga udhalimu unaopagwa na serikali na chama dhalimu.
Kwa hiyo chonde chonde viongozi wa chadema msijitoe kwenye uchaguzi wowote ila makosa yatakayopagwa na ccm yatakutana na moto wa wananchi kuanzia kwenye kampeni kwa sababu raia walishachoshwa na serikali hii hivyo kila mtu anatafuta panapovuja ili kupitia hapo kurudisha heshima na haki nchi hii.